Épisode 20: Qu’est-ce que tu veux, Kwamé ?
Le talisman brisé: le podcast en français-kiswahili - Un podcast de Français Facile - RFI

Catégories:
Mbio za kumuokoa Profesa Omar zinashika kasi. Watekaji wake wanatishia kumuua ikiwa hawatapata fidia. Kwame na Nathalie wanafuatilia dalili mafrofesa feki Aboubakari na Kouada. Je, wana uhusiano na mtu huyu asiyeeleweka, Fendjougou anayejulikana kwa biashara mbalimbali?